inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,739
- 22,488
una concipiracy nyingi kuhusu israel,wanamiliki biashara kubwa ndiyo,ambazo hutoa hela kwa wagombea..lakini hawacontrol all media...ni mainstream media,sasa mitandao kama facebook na online media zinajiendesha kivyao,picha za maovu ya israel dhidi ya palestine 2014 zilipoenea mitandaoni,palizuka maandamano ulaya na biashara za wayahudi kushambuliw,na sasa kuna rise of fascism(spelling) ulaya,hawa wana chuki na wayahudi,nadhani umeona saluti ya nazi wakati wa mechi ya uingereza na bulgariaUnakwama mkuu Israel controls all the media, HOLLYWOOD, political leaders unakumbuka US waliilaumu RUSSIA kuingilia uchaguzi wa US??
Actually ni ISRAEL ndomana Trump amekuwa wa kwanza kuutambua Jerusalem kama capital of Israel