Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

Katibu Mkuu Kiongozi, Kijazi yumo hapa pia...
Namwona akisalimiana na Viongozi wengine pale
 
Anaingia Makamu Wa Rais Sasa...
Wananchi wamesimama sasa...
Karibu Moshi mama Samia Hasani Suluhu
 
Unasherehekea nini na kivipi wakati kamshahara kameshakauka?
Mi niko bize na keyboard hapa najifariji.
 
tbc wanasubiria mda ufke mkuru atakapo anza kuhutubia kwenye maadhimisho hayo ndo warushe mubashara,,,,
 
Tumepanga foleni hapa ushirika, hatujui tunaingia saa ngapi uwanjani.
 
Vizuri sana

Naamini ingekuwa hawajamuonea wivu Mh. Makonda na kuweka ngumu ya mapovu...(sio TBC) basi wangekuwa wanarusha ya mkoani Dar kama kawa. Fata mikumbo na bahasha za khaki zinawaponza kupata na wateja.

Makonda ni habari ingine, hakuna mwingine baada ya JPM anayependwa na wananchi na kufatiliwa tena hapo kamzidi hata Raisi.

Siku ya wafanyakazi oyeeeeee
 
mfanyakazi atatoa wapi nguvu? wakati mshahara ulitoka tarehe 23 ukaisha 25, leo ni tarehe 1 hana hata mia mbovu amejawa na madeni kibao
 
Magufuli ndio anaingia hapa sasa...
Wananchi wanaombwa kushangilia hapa.
Ila naona wengi wanashangaa tu
 
Back
Top Bottom