Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

b9b5647792e565a1032dc691e6f8dfd6.jpg
 
Mvua imepungua sasa na watumishi mbalimbali idara mbalimbali wamejipanga sasa, muda wowote ule maandamano yataanza kuelekea Viwanjani...
 
Watumishi wa umma muda mwingine huwa nawaonea huruma sana wanavyofanya kazi kwenye mazingira magumu. Leo nategemea wataongezewa mshahara. Ni imani yangu Rais atatoa hotuba ya kuwaunganisha wafanyakazi ajitahidi kusoma hotuba ambayo ameandaliwa .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maandamano yanakaribia kuanza sasa....

Watumishi na wakazi wengine wa mkoa wa Kilimanjaro wamekusanyika eneo la idara ya maji kwa ajili ya maandamano yakuelekea viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika
Wameamua kufanyia chuo kikuu cha ushirika ambacho inasemekana Daud Bashite ali disco hapo sio ?
Wanaua ndege wawili kwa jiwe Moja.
Mei Mosi na Bashite Day pia
 
Back
Top Bottom