Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

Mwezi huu inawezekans ikawa kicheko kwa watumoshi wa umma. Mitaani itakuwa vurugu tupu!
 
Hili la Waziri Mkuu, kuwa watumishi wasihamishwe bila kulipwa stahiki liko kama hakijatekelezwa. Jana niliona Mwl.mmoja akilalama sana,kahamishwa seco kwwenda msingi na hajalipwa. Duu bado kazi ipo.
 
Hili la Waziri Mkuu, kuwa watumishi wasihamishwe bila kulipwa stahiki liko kama hakijatekelezwa. Jana niliona Mwl.mmoja akilalama sana,kahamishwa seco kwwenda msingi na hajalipwa. Duu bado kazi ipo.
PALE ZEE LA VI-WONDER LILIPOPELEKA SERIKALI NZIMA KUWAPIGA FIX WATUMISHI WA UMMA
 
23ed481e89921f44fc79b9044490444a.jpg

Chuma kimekaza mwanzo mwisho. Wapiga dili, wauza unga, mafisadi wa chadema na wakaskazini hawana hamu na hiki kichwa. Wote kwa pamoja wanaisoma namba.
Hilo koti utadhani dekio
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom