google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,877
Kutafuta pesa na kujiachia kwa vitambi hahahahaKama yapi kwa mfano...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutafuta pesa na kujiachia kwa vitambi hahahahaKama yapi kwa mfano...?
Jamaa kajisemea hapana lazima nicheki huu mzigo mpaka nafsi yangu iridhike hakuna kuzuga wala nini, mi nacheki tu.
Hata wakiukataa utabaki tu kuwa ukweli hawawezi kubadilisha uhalisia, wengi wao ni wavivu wachawi washirikina na wanapenda vigoma kila kukicha. Hata birthday ya mtoto wanataka uchange michango ya kpuuzi
Sio Tanga wote wako hivyo ukiwatoa wasamba wengine sijui wadigo, wazigua nk mambo yao ndio niliyoyaona.
hivi wanawake wa kichaga mbona manwapa sifa mbaya.sijawahi kudate nao naona mabaharia mnawalalamikia sana.itabidi nifanye utafiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala si unavyofikiriaSawa sawa mangi tumeshakufahamu wa Kibosho...! 🤣
Hahahaaa. Lol.Nafurahi kuskia taarifa nilizokuwa sizifahamu kutoka kwa mwanawe kuwa MAMA YAKO ni mvivu kote kote, MCHAWI, MSHIRIKINA na anapenda VIGOMA kila kukicha, nilikuwa sijui kama yuko hivi aisee. Ahsante.
Kupikiwa chapatiLengo lako nn mkuu
Duh!!
Unafahamu mm wa wapi?
HayaWewe ni wa kolomije
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?Mimi ni mchanganyiko WA Kilimanjaro na Tanga
Kwa kweli wachaga ni watuwa mbali sana na nimeona kwa ndugu zangu ni watafutaji, wakarumu na wana umoja sana sana. Mapungufu ni ulevi na kitu ambacho mie binafsi sikipendi kama mchaga
Kwa upande wa mazeri kwa kweli Tanga hawana mshikamano, kuna majungu na wavivu sana wanafikiria mapenzi all the time. Yani naona mtu akifanya kazi akipata laki mbili tu anaenda kulala aitafune ikiisha basi hapo ndo anakumbuka kazi iko wapi ni wavivu sana wengi wao
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?