Anakuonesha kuwa laki 4 ya Tanga ina thamani kubwa kuliko milioni 4 ya MoshiLengo lako nn mkuu
Ooh sawaAnakuonesha kuwa laki 4 ya Tanga ina thamani kubwa kuliko milioni 4 ya Moshi
wanaweza kuwa wazuri kwenye chpati ila mengineyo wakawa poor
Akili za watu wa tanga hiziLengo langu ni kuwasilisha na tayari nimeshawasilisha...!
Unafahamu mm wa wapi?
Tanga wanawaza Mapenzi muda mwingi na Wengi wao ni Wavivu sio Me sio Ke kutwa kukaa kwenye Vibaraza Umbeya tu na Vijiwe Vya Kahawa...Takwimu za Taifa Mara ya Mwisho zinakila kitu enhe..Anakuonesha kuwa laki 4 ya Tanga ina thamani kubwa kuliko milioni 4 ya Moshi
Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama weweMimi ni mchanganyiko WA Kilimanjaro na Tanga
Kwa kweli wachaga ni watuwa mbali sana na nimeona kwa ndugu zangu ni watafutaji, wakarumu na wana umoja sana sana. Mapungufu ni ulevi na kitu ambacho mie binafsi sikipendi kama mchaga
Kwa upande wa mazeri kwa kweli Tanga hawana mshikamano, kuna majungu na wavivu sana wanafikiria mapenzi all the time. Yani naona mtu akifanya kazi akipata laki mbili tu anaenda kulala aitafune ikiisha basi hapo ndo anakumbuka kazi iko wapi ni wavivu sana wengi wao
Ndo maana jiji lao la mwishoTanga wanawaza Mapenzi muda mwingi na Wengi wao ni Wavivu sio Me sio Ke kutwa kukaa kwenye Vibaraza Umbeya tu na Vijiwe Vya Kahawa...Takwimu za Taifa Mara ya Mwisho zinakila kitu enhe..
Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama wewe
Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama wewe
Hahahahivi wanawake wa kichaga mbona manwapa sifa mbaya.sijawahi kudate nao naona mabaharia mnawalalamikia sana.itabidi nifanye utafiti
Sent using Jamii Forums mobile app