Moshi VS Tanga...!

Moshi VS Tanga...!

Hata wakiukataa utabaki tu kuwa ukweli hawawezi kubadilisha uhalisia, wengi wao ni wavivu wachawi washirikina na wanapenda vigoma kila kukicha. Hata birthday ya mtoto wanataka uchange michango ya kpuuzi

Sio Tanga wote wako hivyo ukiwatoa wasamba wengine sijui wadigo, wazigua nk mambo yao ndio niliyoyaona.

Nafurahi kuskia taarifa nilizokuwa sizifahamu kutoka kwa mwanawe kuwa MAMA YAKO ni mvivu kote kote, MCHAWI, MSHIRIKINA na anapenda VIGOMA kila kukicha, nilikuwa sijui kama yuko hivi aisee. Ahsante.
 
Hahahaaa. Lol.

Binamu naona Mkuu kamwaga maneno mpaka kasahau kama Mama yake katokea huko. 🤣🤣🤣

Yaaaaani acha tu binamu yangu naona anaruka ruka tu kama maharage yanayochemka mwenzangu. Lol.

😍😜😍
 
Mimi ni mchanganyiko WA Kilimanjaro na Tanga

Kwa kweli wachaga ni watuwa mbali sana na nimeona kwa ndugu zangu ni watafutaji, wakarumu na wana umoja sana sana. Mapungufu ni ulevi na kitu ambacho mie binafsi sikipendi kama mchaga

Kwa upande wa mazeri kwa kweli Tanga hawana mshikamano, kuna majungu na wavivu sana wanafikiria mapenzi all the time. Yani naona mtu akifanya kazi akipata laki mbili tu anaenda kulala aitafune ikiisha basi hapo ndo anakumbuka kazi iko wapi ni wavivu sana wengi wao
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?
 
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?

Bora umenisaidia kuuliza kiongozi naona kakimbia kabisa hata jibu ameshindwa kulitoa...!

🤣🤣🤣
 
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?

Babab yake alikuwa na wake wawili, kwa hio bi mkubwa hakukulia sana huko

Sisemi sifa za watanga wote ziko hivyo, nimezungumza kutokana navyoona upande wa huko walivyo katika familia
 
Back
Top Bottom