babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
- Thread starter
- #41
Azimio Dorm 1 na Karume Dorm 40 ndio mazuri sana hasa kwa kwenda Orchad!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Umesahau dorm 5 pia
Azimio Dorm 1 na Karume Dorm 40 ndio mazuri sana hasa kwa kwenda Orchad!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Duh,ila karbu tech.uje ule ugali wa blue
Du kumbe mosh tech kwa sasa kuna madem wanasoma? mazingira pia ni kweli sio mazur ? kwa hiyo ni jina tu inaibeba? Wakuu ushauri wenu hiyo shule ni nzuri kwa comb ya pcb kwa tunaotajia kwenda hivi karibuni?
Azimio na Karume
habari wanaJF
nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .
Lengo ni kujuana,kukumbushana yale yaliokuwa yakijiri shuleni kwa wakati huo ,na pia kutaka kujua yapi yanaendelea ndani ya shule hiyo.
Pia kufahamu na watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa Taifa letu ambao walisoma hapo na kutambua uwepo wa Elimu katika shule ya ufundi moshi
Binafsi nimesoma hapo kidato cha 5 na 6,combination ikiwa ni pcm.
NB:sio lazima uwe umepita shule hyo ndo uchangie,hata kwa wale wanaoifahamu pia mnakaribishwa
Du kumbe mosh tech kwa sasa kuna madem wanasoma? mazingira pia ni kweli sio mazur ? kwa hiyo ni jina tu inaibeba? Wakuu ushauri wenu hiyo shule ni nzuri kwa comb ya pcb kwa tunaotajia kwenda hivi karibuni?
njoo uione motech mpya mwenyewe utanikuta karume,drm 31
upo six?
ngoja tukaoneeee
Mimi nilimaliza hapo PCM 2005, namkumbuka Babu SHAO-PHYSICS, BABU KOOLA-CHEMISRTY, MPAnde Fundi rangi na vijana, MALISA HEadmaster, NKYA (yule mwalimu mwenye pikipik mke wake alikuwa Matron), Babu mmoja wa computer alikuwa anamiliki chuo cha ufundi alikuwa akikesha na miwani yake kwenye computer LAB, yule mwalimu wa Eng. Science alikuwa mlemavu wa mguu, Dada Asha wa Mgahawani, mmama mmoja(Bibi) wa LIBRARY, wale wapishi wa uji wa saa 12 asubuhi saa4 na kuendelea. Second masters mmoja alikuwa mpole(marehemu now) Academic mmoja alikuwa mwana riadha mke wake alikuwa Headmistress wa Mawezi nasikia now Kilakala na mume wake alimfwata huko Morogoro now yupo Moro Sec. Na wengine wengi tu ila nimewasahau Majina.
njoo uione motech mpya mwenyewe utanikuta karume,drm 31
Kuna Mwalimu Nkya na Futa walikuwa walimu wa taaluma!Nkya alikuwa mbabe sana!Kibosho road kwenye mbege na kwa Mjapan kwa Mama muuza samaki!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sie malisa aliondoka tkiwa form 6,tkaletewa aliekuwa Bwiru japo shule ilimshnda.
Me mwenyewe nimekaa dom 5,ila nilikpga A level paleDaah! Long time sana wadau! mimi nimemaliza pale 2007 O-Level! nilikuwa nakaa AZIMIO DORM 5, nikaja nikahamia 4, Haikutosha nikahamia dorm 9! mishe hazikumalizikia pale mwisho wa siku nikahamia MKWAWA DORM 24 coz AZIMIO ilikuwa mbali sana na DH!!

Namkumbuka sana MPANDE, ila alikuwa ananiboa sana kwa upande wa mchaka mchaka!

Namkumbuka sana Mwl. KOBA (Mhina) alikuwa na matango balaa!!

Nikihamia upande wa jikoni sitafanya vizuri kama sitamtaja Mzee UGEGEDE!!!!! Hahahahahahahaaa!!!

NITAMALIZIA NA KIBAO HIKI KAMA MWAKIKUMBUKA

Shule yetu ufundi Mungu ibariki,

bariki wanafunzi nao walimu,

(tupate amani, upendo umoja,

ushirikiano na udumu) X2

AHSANTENI SANA WADAU....:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
Mimi nilimaliza O-level 2001 hapo Mkuu!!Vimbuzi bado vipo?Vipi bado watu wanaenda Shili-matunda?Raha sana Mkuu!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Me mwenyewe nimekaa dom 5,ila nilikpga A level pale
Huyo Nkya mbabe sana