Moshi Technical School thread

Moshi Technical School thread

Dah umenikumbusha mbali,ofisi hizo nilikuwa naweka pesa za matumizi kwa mhasibu,na hilo jengo chini mess room,hapo bado hujakutana na wajane

habari wanaJF

nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .

Lengo ni kujuana,kukumbushana yale yaliokuwa yakijiri shuleni kwa wakati huo ,na pia kutaka kujua yapi yanaendelea ndani ya shule hiyo.
Pia kufahamu na watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa Taifa letu ambao walisoma hapo na kutambua uwepo wa Elimu katika shule ya ufundi moshi

Binafsi nimesoma hapo kidato cha 5 na 6,combination ikiwa ni pcm.

NB:sio lazima uwe umepita shule hyo ndo uchangie,hata kwa wale wanaoifahamu pia mnakaribishwa
 
Nilimaliza pale form four 2005. Nakumbuka sana mpande alikua anatukimbiza mabwenini. Alikua mtaalam wakukariri visogo vya wanafunzi wakiwawanamkimbia kuelekea orchard, tukaanza mbinu za kujifunika na mashati vichwani wakati wakukimbia nae akatuambia jioni kwenye assmebly 'sasa nimeanza kukariri wowowo kwani mnajifanya wajanja kwakuficha visogo'.
 
Ila ilikuwa chamyng sana mpande,japo alishanipga mingumi sana na sikutaka kulipiza
 
Kuna Mwalimu Nkya na Futa walikuwa walimu wa taaluma!Nkya alikuwa mbabe sana!Kibosho road kwenye mbege na kwa Mjapan kwa Mama muuza samaki!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna Mwalimu Nkya na Futa walikuwa walimu wa taaluma!Nkya alikuwa mbabe sana!Kibosho road kwenye mbege na kwa Mjapan kwa Mama muuza samaki!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mpaka leo nkya ni taaluma
 
Azimio Dorm 1 na Karume Dorm 40 ndio mazuri sana hasa kwa kwenda Orchad!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Du kumbe mosh tech kwa sasa kuna madem wanasoma? mazingira pia ni kweli sio mazur ? kwa hiyo ni jina tu inaibeba? Wakuu ushauri wenu hiyo shule ni nzuri kwa comb ya pcb kwa tunaotajia kwenda hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom