Moshi Technical School thread

Moshi Technical School thread

Danida wapo mkuu Malale nilimkuta kondoka na head master alikuwa Kimario, then akaja Isack Malisa...nilimwacha Malisa pale. Tulikuwa class Moja na mtoto wa Malale.

Shule imechoka sana hasa zile workshops...ulikuwa Unga gani?
By then naondoka pale early 90s Malisa alikuwa refarii wa ndondi wa kuaminika Afrika!
 
Moshi technical (dom 30)
duh kijana we ulikuwa jirani yangu mi nilikuwa karume dorm 32 ..nimesoma pale form five na form six 2012~2014..head master alikuwa Mtemi makamu wake ticha mnaa Lema
 
duh kijana we ulikuwa jirani yangu mi nilikuwa karume dorm 32 ..nimesoma pale form five na form six 2012~2014..head master alikuwa Mtemi makamu wake ticha mnaa Lema
makamu wakuu wa shule mara nyingi wanakuwaga wanoko wanoko....namkumbuka Mboya alikuwa makamu kwenye miaka ya tisini mwishoni...alikuwa kitete kweli kweli...
 
Dah! Nilikaa hall lililoko karibu na uwanja wa Mpira, sijui linaitwaje tena!
Long time sana
 
Dorm 15/16 hilo.... Lumumba...

yah! lumumba, dorm 15! Nimemiss vimbuzi (kama nakumbuka jina vzr, vile vutafunwa vya kunywea uji/chai) vya yule maza, kweli kuna vitu hata kama ni vibaya ila moments zinaweza sababisha ukavimiss

Na yule msele aliyechukua godoro akaenda kukachapa kadem kake uwanja wa basket, 🙂 🙂 ilikuwa 2001/2002.

Aisee, raha sana
 
mkuu umenikumbusha ile tabia ya kuomba engo
Pia wasichana huitwa wazenji
Msosi yaani kipolo tulikuwa tunaita PM
Kuingia na malapa bwenini~kuchana au kutoboa
 
dah full kufurahi namimi hapa coz ni maisha fulani raha sana huwez kusahau. nimekuwa pale 2001-2004 olevel. Lumumba. katka vyote vilivyotajwa pia kuna benga cku za wali, pozii, piga mbonji, kupga passport dah ni maneno ambayo kila ukickilza unafurahi tu.
 
ramadhan kipingu hapa. aliekuwa academic prefect ,maaruf sanaa technical 2012/2014 advanced level

sasa kuna haja ya kuanzisha grup whatsapp kwa kujuana zaid .. wengine humu kuingia kwa nadra sanaaa
 
ramadhan kipingu hapa. aliekuwa academic prefect ,maaruf sanaa technical 2012/2014 advanced level

sasa kuna haja ya kuanzisha grup whatsapp kwa kujuana zaid .. wengine humu kuingia kwa nadra sanaaa
Aya bhana!classmate wangu weye...
 
makamu wakuu wa shule mara nyingi wanakuwaga wanoko wanoko....namkumbuka Mboya alikuwa makamu kwenye miaka ya tisini mwishoni...alikuwa kitete kweli kweli...
Sana namkubuka mzee Rais alizingua sana kwa matusi 2012 watu wa Kanda ya ziwa wakakinukisha. Headmaster akiwa KISUU hili lilikua bonge la kilaza kuwah kuingoza MTs
 
ramadhan kipingu hapa. aliekuwa academic prefect ,maaruf sanaa technical 2012/2014 advanced level

sasa kuna haja ya kuanzisha grup whatsapp kwa kujuana zaid .. wengine humu kuingia kwa nadra sanaaa
Shivoooo
 
Shule yetu ufundi Mungu ibariki
Bariki wanafunzi nao walimu.............................,,.,,,,,

Malizieno wimbo huo

Sent using iphone
 
Habari wanaJF

Nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .

Lengo ni kujuana,kukumbushana yale yaliokuwa yakijiri shuleni kwa wakati huo ,na pia kutaka kujua yapi yanaendelea ndani ya shule hiyo.

Pia kufahamu na watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa Taifa letu ambao walisoma hapo na kutambua uwepo wa Elimu katika shule ya Ufundi Moshi

Binafsi nimesoma hapo kidato cha 5 na 6,combination ikiwa ni PCM.

NB: Sio lazima uwe umepita shule hyo ndo uchangie,hata kwa wale wanaoifahamu pia mnakaribishwa!

Mkuu umemaliza pale mwaka gani?

13SEPTEMBER
 
hahahahaha mmenkumbuxha mbali xana nmekaa pale mkwawa 27 bwen zur kuliko lote pale teki mim ni 4m4 leaver wa 2013 dah pa1 xana wanateki
Dhh ww mwamba ulipigaga machata shule nzima mpaka kwenye kuta na mageti ya maimoria Alfizle

13SEPTEMBER
 
Back
Top Bottom