Moshi Technical School thread

Moshi Technical School thread

Shule hii kwa kweli imetoa mchango mkubwa sana kwa upande wa ufundi na kipindi cha nyuma ilikuwa bora kwelikweli. Most of our Engineers wamepitia hapo.
Nawakumbuka waalimu waliokuwa mashuhuri ennzi hizo: Mpande - vijana, Malisa - Additional Maths, Mwasha - Litreture, Nyanza - Electrical, Orbelin - Biology, Dunia - Geography, Pyuza - History.
Umemsahau Mama Kimambo, Koba,Mboya,Mlay,Nkya........
 
Sie malisa aliondoka tkiwa form 6,tkaletewa aliekuwa Bwiru japo shule ilimshnda.
Huyo atakuwa Kisuu alikuwa Head Master Mtwara Tech ambako nilisoma F1 kabla ya kuhamia Moshi Tech mwaka uliofuata, Kisuu Alikuwa vizuri Mtwara ila watu hubaadilika........
Sie ni Enzi za Kimario kabla hajafariki, tulidhani Mnoko Mboya ndiye angekaimu mazima ilaaliletwa Malisa toka Lyamungo tukiwa form 4
 
Danida wapo mkuu Malale nilimkuta kondoka na head master alikuwa Kimario, then akaja Isack Malisa...nilimwacha Malisa pale. Tulikuwa class Moja na mtoto wa Malale.

Shule imechoka sana hasa zile workshops...ulikuwa Unga gani?
Nahisi utakuwa class Mate wangu mkuu, Je unawakumbuka kina Tawaqal Ally, Eliasante Ulomi,Abdi Mjema ?
 
Back
Top Bottom