Moshi pameendelea, ni kama Ulaya

Moshi pameendelea, ni kama Ulaya

Moshi ni kama Ulaya tu nenda uchagani na upareni kule Usangi uone maendeleo

Nenda chuga uone

Watu wa kaskazini maendeleo hayakuletwa na hizo serikali zenu haramu

Sisi hatuongozwi kizembe na mtu kutoka Zanzibar aliyefeli masomo yote form 4 kasoro kiswahili ndo alipata C tu.

Sisi ndo kaskazini bwana, we are proud huyo mamaenu hatumtambui

Hebu niendelee kulewa mimi
Upareni kulikuwa kuna sehemu inaitwa Store Mombasa miaka hiyo ya 80! Imagine maendeleo yalikuwa yameshafika huko! Vitu vingi vizuri na adimu vilipatikana Usangi pekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom