Yeah but huyu mwalimu yupo ndani amefunguliwa Docket?,au kaswaga kama mbuzi wa huku lingusenguse ndani?,nini mashitaka yameandikwa ndani ya Docket hiyo?,topics za ualimu hasa za hivi karibuni zina .....Tatizo jeshi letu la polisi lina njaa sana hivyo ni rahisi tuu huyo afisa elimu kuhonga askari na askari wakamtengenezea kesi huyo mwalimu.
Halmashauri nyingi kesi za maofisa wa halmashauri huwa hazitatuliwi miongoni mwao kwa sababu ya ushkaji wanao kuwa nao , maana huyo TSC unaweza kukuta wanagonga cheers kila siku jion kwenye mivinyo unadhan atatoa msaada gani.Kwani Afisa elimu ndio hatua ha mwisho ya mwisho ya maamuzi?
Nyie walimu wenzetu wa idara ya msingi mnatuangusha sana walimu.Afisa elimu sio muajiri wako.Hata DED akizingua kuna mamlaka za juu yake.shuda yenu huwa mnawaona maafisa elimu kama miungu wangu.ushauri kwa walimu walioonewa:
1.Waende kwa TSC
2.Kama Tsc hawatatia ushirikiano waende kwa DED
3.Kama DED hatatoa ushirikiano waende TAMISEMI
Tangu malalamiko yanayo muhusu yameletwa hapa serikali ingekuwa makini wangekuwa wamesha fuatilia na kuupata ukweli na hatua kuchukuliwa mda sanahuyuu ngonyani wamemuandama kazi anayo
TAKUKURUSheria za nchi unazifahamu?.
Hiyo wilaya;
DED hayupo,
DC,
MAAFISA USALAMA?.