Moshi Mjini ni laana au?

Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.

tafadhali naomba kuwasilisha.

Wewe kweli ni Chalii. Yaani Kwa mawazo na MTAZAMO WAKO TAA NI MUHIMU ZAIDI KWA WAGENI WANAOPITA HAPO MARA MOJA KATIKA MAISHA YAO KULIKO WALIPA KODI NA WANAWAO?
 
We kenge kweli wewe!
Miaka 50 ccm imeshindwa kuweka taa, unataka uwekewe taa kwa mwaka 1,
Useless Maza Fant!

Acha matusi jibu hoja,kama kutukana kila mtu anajua ila wengine tumelelewa na wazazi wawili,we kama ni mtoto wa mtaani endelea hivyo uzani ni fahari
 
Hi posti ulishawahi kuileta hapa na majibu kapewa.
hapa hakuna mjinga kajaribu facebook uliko zowea. Nakushauri kajipange upya,
 
Nadhani ungeenda manispa nyingine usingeongea moshi manispa ambaye ni afadhali kuliko nyingine zote nilizopita.
 
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia. sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.

tafadhali naomba kuwasilisha.

mbona dar maeneo mengi taa azifanyi kazi barabara mbovu mvua ikinyesha kwa dakika 2 drainage system inalemewa yanatokea mabwawa.tembea uone au unataka moshi iwe nchi chali wangu
 
Hi posti ulishawahi kuileta hapa na majibu kapewa.
hapa hakuna mjinga kajaribu facebook uliko zowea. Nakushauri kajipange upya,

wacha uwongo wewe hii post imeshaletwaga hapa lini? embu thibitisha au uko tungi nini??

alafu hawa jamaa ambao huwa wanatukana huku jamvini embu tuwaundieni protocal. yaani utasema wamezaliwa gest. embu msiwazalilishe wazaziweni walio walea watu wakaona udhaifu wao wamalezi.
 
Hata kama haziwaki, huo sio mzigo wa kurushia CHADEMA, bali ni uongozi wa manispaa. Tumia akili na siyo masaburi
 
Jamani sio siri mimi ni mpenda mabadiliko lakini kwenye hili ni aibu, hapa moshi tulipambana natumehakikisha tumeipa CHADEMA manispaa lakini chakustua na kunishangaza ni kwamba karibu mwaka sasa taa za barabarani za moshi mjini aziwaki yaani utasema sijui ni nini tatizo, kama mnavyojua moshi ni mji wa kitalii na wanatoka mataifa mbalimbali dunia.

Sasa kuwa na mji ambao usiku nigiza kama vile manispaa imekwenda likizo kwakweli inanisikitisha sana nikiwa kama mpenda maendeleo.

Tafadhali naomba kuwasilisha.

Si mnawapeda sana wahuni wa CDM sasa fanyeni harambee ili mpate taa
 
moshi sehemu tulivuuuuu
iacheni ibaki tulivu hivyohivyo! tukichoko kutafuta twaenda mapumzikoni moshi.
 
mzazi,uongozi mmewapa wahuni wasio nataa nyumbani kwao sasa unatarajia nini si kila mtu wa cdm anafaa

we mwenyewe ni mpumbavu kuwaambia watu wazima kuwa wamewapa wahuni, ugonjwa wako unatibika ni kujifunza tu jinsi ya kuperceive mambo tu!moshi wana akili na wamefanya machaguo sahihi, mbona nchi nzima hatusemi wahuni kwa kumpa jamaa familia yote ya tz?kwa sababu ya staha tu tunasita kusema hivo!jifunze kuongea
 
polepole ndi mwendo mimi naandika toka hapa ms
watajitahidi bhana kwani magamba wamefanya nini
cdm wanaweka mahospital na mashule na mambo mengine ya muhimu
kwanza sawa ndo waje kwenye kuremba barabara tumia tochi ya
simu kama unakereka sana alaaaaa
 
Dah... Nyie mnaongelea taa za barabarani? Wenzenu wanawaza shule,madawati,zahanati...

Kifupi mna nafuu sana!
 
Back
Top Bottom