Chali wa Moshi, kwanza shukrani kwa post yako. Ila nakushauri siku nyingine fanya utafiti wa kina kabla ya!! Hapa JF hapakurupukiwi mkuu!!
Pia mkuu naona unajichanganya sana, mf; umesema wakati wa kampeini ulipigana sana kuhakikisha CDM wanachukua Jimbo(asante sana kama ni kweli), wakati huohuo unasema huna chama nahutokuwa na chama!! Kwa kauri zako hizi nina uhakika 98% hukupiga kura na hutopiga kura!!! "Amka mkuu!!"
Mkuu nakusihi kama Mtanzania mwenzangu tambua umuhimu wako ktk kutafuta ukombozi huu, wewe ndie unayesababisha taa hizi zisiwake na kamwe sio CDM(kama kweli haziwaki). "Amka mkuu" tukomboe nchi yetu!!
Kumbuka halimashauri zinatengewa fungu toka serikali kuu (kama sijakosea) ambayo imeshikiriwa na Magamba!!
"AMKA MKUU".