Moshi: Mji ulivyo msafi nashauri tuingie kwa VISA

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,194
Kwa kweli nawapongeza wote wanaojituma kuweka mji wa Moshi safi najua mna bajeti ndogo ndio maana nashauri hapa majiji masafi kama Moshi tuingie na VISA ama vibali maalum kuongeza pato la mji jamani.Na hii itatoa mhemuko mikoa mingine kujiweka safi zaidi na kujua kumbe ukiacha faini za usafi bado tutaingiza pesa zaidi kulitunza jiji letu kupitia vibali.
 
Back
Top Bottom