petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 809
- 945
hapana kakaDada unavyojua mimi ni mchafu hibyo eti!
Tegeta ndio usiseme mkuuNimepishana na dereva wa daladala hapa Boko kwa Mpemba karibia na Hisaje /magengeni anatupa chupa ya mikojo Dar usafi OO aka FaFaFa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekumbuka soko nini![]()
![]()
Mkuu Dar enzi ya Keenja akiwa Meya kama sikosei, jiji lilikuwa safi sana.Mimi mara ya kwanza kufika Moshi nilifikiri wanapiga deki barabara na hivi siku hiyo kulikuwa na manyunyu sikutaka kuamini kuwa ni usafi tu wa kawaida,maana nilishajizoelea jiji letu kuu na barabara zake zilivyojaa michanga..
mzima sana kakaMzima dadsngu!
Kinachofanyika ktk usafi dar ni kituko usaf jmos na watu hafanyi usaf wanakaa makundi wanapiga story wanasubiri SAA 4 ifika wafungue biashara zao.shameMkuu Dar enzi ya Keenja akiwa Meya kama sikosei, jiji lilikuwa safi sana.
Makamba naye hakuwa mbaya sana.
Kwasasa Makonda na mameya wamefeli sana
Hata hivyo hata sasa ukinda timbirini umepigilia pamba za ukweli unageuka sinema, kimavazi kwa kweli ni sawa na vijiji vingineEnzi izo sikukuu tunaenda Moshi kwa babu Timbirini,basi tukienda kanisa tunaonekana watoto wa mjini kinoumer maana mavazi tuliyokuwa tunapiga ma jeans ya Savco enzi izo tunaonekana wajanja.
Siku moja niliwaza tu.Kinachofanyika ktk usafi dar ni kituko usaf jmos na watu hafanyi usaf wanakaa makundi wanapiga story wanasubiri SAA 4 ifika wafungue biashara zao.shame
Sent using Jamii Forums mobile app