Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,407
19,073
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.

Mwenye Nguvu mpishe tu.

Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.

Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
 
JF bana,
Watu mnajifanya mnajuaaaaaa. Ukweli ni kuwa Simba wameona ni utoto kuendelea kushikilia release letter wakati hawamtaki.
 
Simba hawakumnyima Morrison release letter,bali walimtaka afuate taratibu kuwa timu inayomtaka ndiyo iombe barua hiyo kwani kisheria Simba wangemuandikia barua hiyo tafsiri yake ni kuwa wamevunja mkataba. Ila kama kuna timu ilidhalilishwa na Morrison ni Yanga. Morrison alitoka Yanga kihuni, Yanga wakatumia milioni sitini gharama ya kufungua jalada CAS, Morrison akawabwaga na Yanga ikamlipa mamilioni kwa kumsumbua. Kama una akili timamu sidhani kama ungeanzisha hii thread,naona wewe ni mhitimu wa chuo cha kuzalisha wajinga hapo Yanga. Na pia usisahau hii kitu
View attachment 2280823
 
Ndio tupo Immigration hapa tunashughulikia Swala la Uraia wa Morrison. tumefika kipengele cha Kujaza Kabila ungependekeza tumpe Kabila gani?.
huyo Morrison ni Mangi OG pesa mbele nidhamu , kuona aibu na ubinadamu kabatini!
 
Huyo morrisson ni kiazi kibovu ipo siku hata yanga watamtema huyo mpuuzo hana,sera mtu ambaye hajitambuagi anatakiwa kufanya nini ndio hawanaga nguvu za kiume ,tena ni wanafiki morrison hajui kucheza ni masifa tu.

Kingine huyo mpuuzi ndio wale wakiwa nawadada shoo zake ni mbovu tena sana
 
Sijapenda kwa Yanga kumrudiaha marrison. Jamaa ni chizi hafai. Manara na marrison hawafai kuwepo yanga
 
Kucheza hata cheza mpaka siku ambayo mkataba na simba utakwishaa

Ila ku sign tu mikataba unaruhusiwa coz mwajiri wako hana nia ya kukuajiri tena , na kwa mujibu wa fifa mchezaji akisha bakiza miezi sita ktk mkataba wake na mwajkrk (club) wake basi mchezaj ana haki ya kufanya mazungumzo na club yoyote itakayo onyesha nia lkn ninpamoja na kuwekeana mikataba ya awali .. ..

Na ukumbuke huyu Morrison ni Simba ndio imemuonyesha mlanho wa kutokea mapema
 
Jitahidi uwe mtu anayetumia AKILI. Unapewaje releasing letter wakati mkataba haujaisha.

Angepewa barua Nani Angelipa gharama za kuvunja mkataba. Morrison alitaka apewe barua HALAFU afungue kesi ya madai ya kumvunjia mkataba.

Unadhani Simba Wana AKILI oya oya km za kwako. Morrison ameondoka akiwa mchezaji huru.

Kwann wampunguzie mshahara , Ni kwa sababu Simba ilikuwa haimhitaji Tena.

Btw hakuna utopolo mwenye ajili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…