Morrison kawapiga kanzu CEO wa Simba na wote walioamini kwamba kugomea release letter ndio kumzuia kucheza Yanga

Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.

Mwenye Nguvu mpishe tu.

Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.

Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
Kawaumbuaje?
 
Jitahidi uwe mtu anayetumia AKILI. Unapewaje releasing letter wakati mkataba haujaisha.

Angepewa barua Nani Angelipa gharama za kuvunja mkataba. Morrison alitaka apewe barua HALAFU afungue kesi ya madai ya kumvunjia mkataba.

Unadhani Simba Wana AKILI oya oya km za kwako. Morrison ameondoka akiwa mchezaji huru.

Kwann wampunguzie mshahara , Ni kwa sababu Simba ilikuwa haimhitaji Tena.

Btw hakuna utopolo mwenye ajili.
.
FB_IMG_1655579378566.jpg
 
Hakika hii ni pumzi ya moto wanayohemewa Simba.

Mwenye Nguvu mpishe tu.

Walianza na Azizi Ki kwa ofa ya kibahili wakapigwa kanzu na Yanga kwenye kitita.

Walitaka kumkomoa Morrison kwa kumpunguzia mshahara na kumnyima release letter ila wakili msomi kawaumbua.
Duuuh!!! Mnamwaibisha mheshimiwa.
Mi nadhani huwa anajisikia vibaya sana anaposoma post kama hizi. Ni kwa vile tu kutokana na hadhi yake ndiyo maana anakaa kimya. Ila kwa kweli huko kuna shida.

Haya, leo hii mnaimba mapambio ya sifa kwa huyo mtu wenu. Ngoja, msije lalamika humu. Huyo ni kunguru, hafugiki, siyo wa kumalizia maneno na viapo.

Halafu, hampitishi siku bila kuanzia Uzi wa kuitaja Simba?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom