demigod JF-Expert Member Jan 2, 2015 8,251 15,125 Jul 2, 2022 #1 Kama nilivyo waeleza hapo awali. Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja. Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.
Kama nilivyo waeleza hapo awali. Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja. Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu ujao 2022/23.