Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 147
- 153
Morris Makoi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini amefanya kile kilichowashinda wengi baada ya kufanikiwq kuisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuung'oa mbuyu ulioshindikana.
Makoi ambaye ni Diwani wa Kata ya Okaoni (CCM), amemng'oa kada maarufu wa Chadema, Awoni Ringo na mkewe, Judith Ringo.
Ringo, mmoja wa wanasiasa wenye ushawishi mkubwa kwenye siasa za Moshi Vijijini, amewahi kuwa Diwani wa Kata ya Old Moshi Mashariki kwa kipindi cha 2010-2015. Ringo na makada wenzake wpatao 28walipkelewa hivi karibuni na viongozi wa CCM wilaya ya moshi Vijijini pamoja na ofisi ya ccm mkoa.
Akizungumza baada ya kurejea ccm,Ringo amesema amerejea CCM baada ya kuona jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Kwa upande wake Makoi amesema kurejea kwa Ringo CCM kulitokana na ushawishi wake wa siku nyingi tangu wakiwa kwenye Baraza la madiwani.
Habari zaidi na picha nitakuijia pumde.