The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
yeh nimekubali hapa ni tumbaku morogoro kuelekea k/ndege kwenye mkutano
Mkubwa umenowa. Hapa ni Msamvu. Tumbaku hakuna bango la aina hiyo. Hilo bango lipo pale kipleft msamvu.
yeh nimekubali hapa ni tumbaku morogoro kuelekea k/ndege kwenye mkutano
Kweli hatari hii yani mpaka watu wapigwe mabomu ya machozi ndo wanaelewa kwa kitu kidogo tu kuto kitii sheria bila shuruti hivi kwani bila hayo maandamano mkutano usinge fanyika? Tuwe makini vijana wa kitanzania tusitumiwe na wanasiasi..
yeh unaweza kuwa sawa miarubaini na kijrami ndio vimenichanganyaMkubwa umenowa. Hapa ni Msamvu. Tumbaku hakuna bango la aina hiyo. Hilo bango lipo pale kipleft msamvu.
Acha uoga wewe watu wanaenda kwa mkutano wanapigwa mabomu so tutegemee nini? Unadhani ndo hatutaenda kwa mkutano? Lazima utakuwa gamba wewe.wakupimwa wewe.
Kuna jamaa yangu mmoja ana nickname ya "kifaru" AKA Max,last time alikuwa moro,na ninavyomfahamu,sidhani kama atakuwa gamba,I was hoping we ni the same kifaru,if not pouwa tu,ila nimependa jibu lako kwa huyo kilaza.Acha uoga wewe watu wanaenda kwa mkutano wanapigwa mabomu so tutegemee nini? Unadhani ndo hatutaenda kwa mkutano? Lazima utakuwa gamba wewe.
ITV imetangaza habari mpasuko hivi punde kuwa mtu mmoja ameuwawa kwa kupigwa risasi kisogoni na Polisi kwenye maandamano huko Mji kasoro bahari. Je wana JF mlioko huko hembu tujuzeni ukweli wa kinachoendelea huko hivi sasa kwa sababu mahojiano na Kamanda wa Polisi mkoani huko yalikatika ghafla.
Poleni sana wafiwa ndio harakati za kisiasa lazima ukutane na mitihani.
hayo ndo maneno,wanatakiwa wayaseme tena over and over again!Hadi wananchi wote wapenda mabadiliko wayasikie!Hongera Kamanda Lissu,ushindi wa wazalendo wa hii nchi hauzuiliki tena hata kwa risasi na mabomu!when its time,nobody can resist the people's power!Tundu Lissu anasema hakuna damu ya Mtanzania iliyotolewa uhai na jeshi itakayo achwa bila kupatiwa majibu,amemuambia Shilogelle atajibu kifo cha mwana Morogoro wa leo atasimama mbele ya Watanzania na ajibu kwa nini ameua,anasema Shillogile na wauaji wa Arusha siku yao ipo wawe wamevaa magwanda au wawe wamevua magwanda siku yao ipo!!