Morogoro: Ujenzi wa Barabara 88 hadi Tungi una Kasoro

Morogoro: Ujenzi wa Barabara 88 hadi Tungi una Kasoro

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,436
Reaction score
50,163
Naandika kukufahamisha Meneja wa TARURA Morogoro kukufahamisha kuwa kama umekaa ofisini nenda site kasimamie kazi, tunashukuru serikali imetoa fedha kwaajili ya ujenzi wa barabara hiyo lakini yaelekea kuna fedha inaliwa na wajanja.

Haiwezekani kampuni ikapewa kazi ya kujenga barabara bila kuweka diversion kwenye karvati badala yake magari yanaelekezwa kupita vichakani na vichochoroni ambako ni mashimo na matope magari yanakwama basi ni usumbufu mtupu.

Tunaomba Mamlaka zinazohusika ikiwepo PCCB wakachunguze mazingira ya kazi ili wabaini ujanjaujanja uliopo kwenye ujenzi wa karvati karibu na kituo cha Hardware.
 
Back
Top Bottom