Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
๐๐๐ Akachukue mali zake zinaleta shida sio.Ukimya wa Kinana unasababisha.
Ukimya wa Kinana unasababisha.
Nini kinana hata mangula anakaribishwa.Mgombea wa Chadema huyo acha kumchafua
Nini kinana hata mangula anakaribishwa.
Sioni tofauti na alivyosems afisa wanyamapori tofauti ni uwaslilishaji tuu ! Btw he is more practical.Huyo afisa ahojiwe vizuri atoe maelezo ya kitaalam. Kama hao tembo walipita kutoka upande mmoja kwenda mwingine wa hizo ekari basi hiyo ni njia ta tembo na hamna kuwalaumu tembo hapo. Siyo kuweka maneno ya kutegesha eti tembo wamevutiwa na harufu lakini pia wanakumbukumbu.
Hayo maeneo ni ya tembo nadhani wananchi ndio wamevamia malisho ya tembo, hivyo wananchi hao ndio wanatakiwa kuswagwa watoke kwenye mashamba ya tembo.Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700
Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani
Joseph Chuwa, Afisa wanyama pori Morogoro ametaja sababu za wanyama hao kuvamia mji huo kuwa baadhi ya mazao huwavuta tembo kuyafuata lakini pia tembo huwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu
Maeneo ya Msongozi ni maeneo yamekuwa yakivamiwa na Tembo mara kwa mara
Clouds FM
Ila anaweza kudhalilishwa na wahuni wa maccm kwa kupewa sumu ya panya๐๐๐๐Mangula hawezi kwenda kujidhalilisha kwenye sacos ya Mbowe
AiseKuna sehem niliona ili kuzuia tembo kuja kwa wananchi walihamua kuweka mizinga ya nyuki Kwenye hilo eneo na sababu tembo ni muoga sana kwa nyuki walifanikiwa kudhibiti.
Sent using Jamii Forums mobile app