Morogoro: Suzan Kiwanga na Peter Lijualikali, washinda kesi za Uchaguzi katika Majimbo yao

....aisee!

yaani wote wawili wameshindwa kesi?!, halafu kule kwa Wenje na Kafulila ambako ushahidi ulikuwa wazi nao wakashindwa!, Seif nae kashinda znz akaporwa ushindi!

...huu upinzani wa kinafiki wa Tanzania ili kuyafurahisha mataifa ya nje yatupe misaada hauna maana,bora ibaki ccm tu, tusipotezeane muda!
 
Hakuna fact kwa wapuuzi
Ni vema kama unajua wapuuzi hawana fact kwa maana wengi huoend kugeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ,fact kwa mpuuzi ni jambo lisilo wezekana hata kidogo kwa maana hawezi kuvaa uhalisia . Uko sahihi. LIKE
 
Mwenzako akinyolewa tia maji
mm hua nafurahia sana kilakinacho fanyika zanzibar watanganyika hukaa kimya wakifikiria yataishia kukule kule kumbe hawajui kwamba wanaoyatenda kule hua wameagizwa na wenye mamlaka tanganyika ambao ndio wanaoyantenda ya tanganyika
haya ndio ya jecha mliona yataishia zanzibar tu
 
....ngumu sana kuamini!, yaani nchi hii uniambie mbunge wa upinzani kashinda uchaguzi unfairly?!

wakuu wa wilaya ccm!, polisi ccm!, mkuu wa mkoa ccm!, mkurugenzi wa uchaguzi ccm!, wakurugenzi wa miji ccm!, wale mawakala wa vyama nao wakilegea wanapewa hela!, wapinzani wanajitahidi kuwashinda wote hawa, halafu bado tena mahakimu ccm!!

damn shit!
 
....aisee!

yaani wote wawili wameshindwa kesi?!, halafu kule kwa Wenje na Kafulila ambako ushahidi ulikuwa wazi nao wakashindwa!, Seif nae kashinda znz akaporwa ushindi!

...huu upinzani wa kinafiki wa Tanzania ili kuyafurahisha mataifa ya nje yatupe misaada hauna maana,bora ibaki ccm tu, tusipotezeane muda!
Hivi una uhakika na ulicho kiandika?
 
Kwa hiyo mahakama imetenda haki au haijatenda haki? Kwa hiyo mlikuwa na na nakala ya hukumu kabla?
Mahakama imeshatenda haki jimbo la Kilombero, bado tunasubiri itafanyaje Mlimba. Mwambie Abubacary Assenga aendelee na kazi yake ya ukatibu tawala
 
hakuna kurudia uchaguzi, ni gharama

namhurumia hakimu aliyetengua uchaguzi wa kule sijui wapi Loliondo kwa mbunge Nangole
 
Back
Top Bottom