MOROGORO: Rais Magufuli afungua kituo cha kisasa cha mabasi Msamvu

Jibu hoja acha kuruka ruka!!! Au 1.5 trillions na zaidi ya 200 billions ni ndogo kwa hesabu zako za mtaa wa lumumba ukilinganisha na hiyo 13.5 bilioni!?

Nimeipenda hii Chadema ya kusini mwa Jiji la Dodoma, kiukweli wameanza kujitambua!
 
Nitajie Stand nchini inayofanana na ile...pia ukiwrza tanua wigo hadi Afrika mashariki na kati
Shida yenu Kila kitu mkizindua Eti afrika hakuna hii ndy ya kwanza!daraja la kigamboni mlisema hivyo hivyo....kikwapi hebu kwanza nendeni mkafagie mchanga huko darajani kigamboni in tel years time lami itajaa kote....
Acheni misifa isiyokuwa na maana

Ova
 
Mh Rais yupo Morogoro kuzindua stand ya kisasa ya Msamvu.

Akiwa anaendelea kuhutubia wananchi wa Morogoro amesema Mji wa Morogoro upo katikati ya Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Dsm Makao Makuu ya Kibiashara.

Nanukuu:

" Katikati ni pazuri. Patumieni vizuri katikati. Siyo katikati mnayoichekelea ninyi. Morogoro ipo katikati. Itumieni fursa vizuri"
Amejuaje kama watu wa Morogoro walikuwa wanafikiria katikatika nyingine?

Btw siamini kama mfumo wetu tulionao utakaa utupatie viongozi wa maana, never on earth!

Mchakato tulionao ulioko engineered na ccm toka uhuru, hautakaa utupatie viongozi wa maana. Mark my words.
 
Jibu hoja acha kuruka ruka!!! Au 1.5 trillions na zaidi ya 200 billions ni ndogo kwa hesabu zako za mtaa wa lumumba ukilinganisha na hiyo 13.5 bilioni!?
Thread yangu inazungumzia hoja ya Devotha Minja, hayo yako yaanzishie thread!
 
Ningekuwa sitafakari nisingeweza kukuuliza swali ambalo umeshindwa kulijibu na kubaki kutoa povu zito.

Jibu hoja acha kuruka ruka!!! Au 1.5 trillions na zaidi ya 200 billions ni ndogo kwa hesabu zako za mtaa wa lumumba ukilinganisha na hiyo 13.5 bilioni!?

Thread yangu inazungumzia hoja ya Devotha Minja, hayo yako yaanzishie thread!
 
Rais anekataa ubaguzi wa kuifanya stand ya msamvu kuwa ya matycoon tu na kuamuru wamachinga wapewe fursa sawa
 
Rais anekataa ubaguzi wa kuifanya stand ya msamvu kuwa ya matycoon tu na kuamuru wamachinga wapewe fursa sawa
 
Uzinduzi, maana yake ni kusikiliza kero za Wananchi, kwahiyo mlitaka akae ofisini asijue Nchi inavyoenda?. Muacheni Raisi achape kazi.
Kwa hiyo hajui kero za wananchi? Si kila siku anasema yeye katembea nchi nzima, anajua kila kona ya nchi, na hivyo anafahamu kero na shida za watanzania?!?

CCM mnachekesha kweli. Mwaka wa 3 huu, anapiga mark time tu!
 
Sasa hivi maana ya uzinduzi imepotea. Vitu vinatumika na kuzeeka halafu vinazinduliwa. Barabara ya Iyovi Mafinga iliisha toka enzi za JK eti inazinduliwa sasa. Kila siku anahutubia na hakosi vimbwanga atachokw na kupoteza heshima ya urais. Miradi mingine siyo ya levo yake kabisa
 
Back
Top Bottom