1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,225
umenena sana,, Katoro Geita pua nyembamba zimejaa kama uko Rusumo πIla Moro napakubali sana. Sio mikoa yote lazima iwe na vurugu kama Dar sijui Katoro. Mikoa mingine inapaswa iwe tulivu kama Moro.
Okay kwahiyo wanaoga Mara chache Sana kwa siku?..π€π€
Maeneo mengi ya Morogoro hayana Maji hasa ukanda wa Kihonda na Nanenane
Alafu vumbi la Morogoro usipime.
Kama Kahama vile, sema Kahama kuna Maji
Morogoro ndio Mkoa wenye mito mingi na mikubwa kuliko yote lakini hakuna Maji.
Abood yupo mwaka wa 20 sasa kama sio 15
Okay kwahiyo wanaoga Mara chache Sana kwa siku?..
Nimekupata mkuuWanatembea kwa miguu.
Jua lao nikali na joto kali.
Tofauti na Dar joto ni kali lakini jua sio kali.
Nimekupata mkuu
Ahmadia, Masika, soko la Kingalu huko kote nakujua hakuna mabadilikoWewe ni kati ya wale wanaofikiri Msamvu ndio Morogoro mjini?
Kwa hiyo hujaona mabadiliko ya soko la kingalu? Lilikuwa hivyo miaka 15 iliyopita?Ahmadia, Masika, soko la Kingalu huko kote nakujua hakuna mabadiliko
Umenikumbusha tulienda msibani Machame,unapita pale kwa Mbowe, mbele kama km 7 hivi,kuna tajiri mmoja amejenga nyumba ya ghorofa 10 na huko ndani ndiyo tulifikia,wanafuga mbuzi tu humo na shamba boy wanaishi humo,na ile nyumba angeijenga sehemu yenye kimji kidogo ingewezekana kufa ofisi za makampuni, mpaka leo huwa sielewi why alijenga kijijini hata kama ni sifa angejenga nyumba ya kawaida tuNi kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Hapohapo haujakosea, pale kuna harakati nyingi na pamechangamka kuliko Vwawa makao makuu ya mkoa wa SongweAhahahah Mlowo kuelekea Tunduma hiyo si ndio?? Daahh nilikuaga pande hizo mwaka 2014
Mapungufu haya sio ya watu wa Morogoro bali ni ya serikali kukosa kuwa na sera nzuri za kuendeleza miji.Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , ninauhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!