Morogoro ni kama imerogwa

Morogoro ni kama imerogwa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , ninauhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa

Adios!!
 
Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.

Prof palamagamba anasemaje
 
Kwani aboood anasemaje
 
Wakifiwa wana mabasi ya kuwasafirisha. Waache
 
Ni kama Moshi mjini.

Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.

Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.

Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
 
Acha uongo bwana miaka 15 maana 2010, Mlapakolo Street, karume, Sultani area, Kilakala road, Bogwa road, kichangani road, mafisa road, Kola makaburini, sabasaba street, Misufini road. Hizo barabara zoote hazikuwa na lami sasa hivi kuna lami. Na hiyo ndiyo nchi yetu ilivyo ulishacheki na miji mingine inakuwa km mchixha
 
Ni kama Moshi mjini.

Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.

Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.

Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Kweli kabisa moshi ipo karibu sana kuzidiwa na kahama manispaa nipo hapa. Na nadhani tyr ishapitwa.
 
Back
Top Bottom