Kumbe mkuu unakaa Keko? Naipata picha sasaNi kawaida sana, pale Keko kuna Kanisa la Kilokole wanashea ukuta wa uzio na Msikiti!
Kwan kuna shida gan?Nipo naishi mitaa hii hii karibu, ipo shida naiona siku za usoni! Msikiti umepakana na kanisa......
Hivi Inno yuko wapi siku hizi!!Sote Ni Ndugu Watoto Wa Baba Mmoja
Wengine Wanamwita, Jah Wengine Wanamwita God
Wewe unatofauti gani na pepo!!??Lazima wa msikiti watahama tu!
Maana mapepo hayawezi kukaa sehemu moja na Yesu
Shida ipi wakati wote wanaabudu MunguNipo naishi mitaa hii hii karibu, ipo shida naiona siku za usoni! Msikiti umepakana na kanisa......
Kina kitu umekosea hapo. Wasabato hawana mambo kama hayo. Kwa kifupi hakuna masista huko.Sheikh asije akatamani ma Sista