BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,195
....Mkuu, ungesema kwanza ni maajabu yepi wewe uliyosikia ndio watu naamini watapata muelekeo wa kuchangia...maajabu au mambo hayo yalikuwa yakitokea enzi zile za wajerumani, ndio nataka kufahamu