Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,416
- 6,359
5.5/10 đź–’
0/1005.5/10 đź–’
Anahisa WCBJamaa wewe bwana!,Kila atayetoa comment inayoendana kinyume Na wcb unatoa povu kweli!
Hatari sana huyo mtu namkubali sana,msikilizie kwenye sick ina head akiwa na burna boy,au kweny quiero mais love akiwa na c4 pedro,au kwenye pepper dem,anaimba ile original dancehall kabisaStonebwoy from Ghana anajua sana
Hana mpya sijui yukojeSasa diamond mbona mashairi yake ni yaleyale tu ya ngono mara kata mauno,mara chuma mboga..pathetic
Anarudia kuimba mambo yaleyale..inabidi awe anachange na topic..Hana mpya sijui yukoje
Topic mpya atoe wapi. Hata hao mameneja wake hawaoni kama hiyo mistari inakinaisha. Nyimbo zake itafikia mahali ni [emoji725]Anarudia kuimba mambo yaleyale..inabidi awe anachange na topic..
Anabadirisha wanamuziki lkn ...mashairi yake na staili yake ni Ile ile samahani lknSasa diamond mbona mashairi yake ni yaleyale tu ya ngono mara kata mauno,mara chuma mboga..pathetic
Ni mbovu sana tu,bila samahani,sijaskia diamond ameimba nini hapo! Nimeishia tu kuona jinna lake! Samahani labda!Ngoma mbovu tu! Samahan lakini,
Tukosane kwa mengine ila si kwa hili! Samahani mkuu,sikutegemea kuwa kuna siku ungenitukana kwa ajili ya ujinga kama huu!wabanwa choo hamkosekani
Sasa diamond mbona mashairi yake ni yaleyale tu ya ngono mara kata mauno,mara chuma mboga..pathetic
Huyu ataanguka vibaya sana. Akishachokwa na kizazi hiki, ndo basi tena. Haimbi muziki wa kudumu miaka mingiSasa diamond mbona mashairi yake ni yaleyale tu ya ngono mara kata mauno,mara chuma mboga..pathetic