Morgan Heritage ft Diamond &Stonebwoy,ngoma Kali sana hii

Morgan Heritage ft Diamond &Stonebwoy,ngoma Kali sana hii

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,462
Kwa wale wataalam wa Danc Hall hii kitu ni Club benga moja hatari sana,unabambia hadi asubuhi,Mond is very flexible anafeat popote pale hata kwenye mdumange
 
Hii ngoma inabidi usikilize zaidi ya Mara moja ndio utaielewa .... Hongera Simba
 
Jamaa wewe bwana!,Kila atayetoa comment inayoendana kinyume Na wcb unatoa povu kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nitake radhi Mkuu!
Kitambo sana humu thread za diamond zikianzishwa zilikua znafika page kama 20 tunabishana Na akina Nifah ambao team kiba!
 
Back
Top Bottom