More than serious nahitaji mume wandugu

More than serious nahitaji mume wandugu

Karibu sana na kila la heri ila kina CPU wa mzaha wako wengi so kuwa mvumilivu sana dear

Mkuu, hebu soma kijana alivyomjibu hapo chini, mi wala sitanii naongea kweli. Nipo singo na Bado kabisa kufika 33 au zaid kama anavyotaka mdada jena

Sikukatishi tamaa but 33+ years wanaume wengi washaoa au wana wachumba.try 29 yrs or less
 
Jena usikate tamaa Mungu atakubariki utapata mume mwema endelea kumuomba Mungu asikilize maombi yako.
 
Mkuu, hebu soma kijana alivyomjibu hapo chini, mi wala sitanii naongea kweli. Nipo singo na Bado kabisa kufika 33 au zaid kama anavyotaka mdada jena
We CPU si ulifaulu usaili kwa Lizzy sasa hapa tena unafanya nini au yako ni ndoa ya wake wengi ?
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?
mhh nami huwa najiuliza hivyohivyo:hand:
 
Kwenye ajira-Pass
umri-fail
dini-fail
elim ya kujtosheleza-pass
kabila lolote-pass,
je sup inaruhusiwa?
 
We CPU si ulifaulu usaili kwa Lizzy sasa hapa tena unafanya nini au yako ni ndoa ya wake wengi ?

Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mtu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?

Mkuu, hii mi nasikia tu watu wanadai wapo waiooana. Kuna mmoja (nadhani ktk thread hii hii) anadai alifanikiwa kupata mke humu na sasa wameshaoana na wamezaa mtoto mmoja. Ingawaje ukifikiria vizuri unaona its possible kuwa kweli lakin bado utagundua most of relationships zilizoanzia kwa watu kujuana online zinaishia kwenye ngono tu. Almost 95% I guess
 
Tangu ni join JF, its my fist tme to c a serious post kama hii ya dada jena, n am hapy kuona hata replies zimekuwa zaheshima.
I just wish ningekuwa na hvyo vigezo bt i dnt fit.

Wish u all the best dada jena, na mungu atakupa mume mwema.
 
Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mtu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply

Mi nilihangaika nae miezi mitatu mara yuko hot mara cold nikaachia ngazi,maneno yako yana ukweli flani.
 
Ka kwangu ni kajiswali,najua wengi hatujuani humu na wengine for some reasons wanafahamiana,je kuna couple yoyote ambayo walifanikiwa kuoana baada ya kufahamiana through JF?
Huyu hapa
Hata mimi niliwahi kuja na ombi hapa la kutafuta mke...... sikufich dada yangu nilipata..... na tayari tumemeshajitia pingu za maisha na Mtoto wa kwanza wa kike (Blanca) tumepata.....na sasa tuko wote huku, mimi nabeba mabox na yeye anamalizia chuo...

so usikate tamaa dada yangu
 
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa kati ya 30-33 na ninahitaji mume wa kati ya 33 na kuendelea. Awe na elimu ya kujitosheleza, mfanyakazi au aliyejiajiri. Kabila lolote Tanzania na pia awe Mkristo. Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kwelunahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Umri wako hauujui mpaka uweke kati ya 30-33? Nadhan kama umri umeshindwa utaja waz hata kuna mambo mengine utafcha ivoivo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom