Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,084
- 1,259
Kwikwikwikwi. Kwanza matusi weka pembeni. Mimi najua sana kutukana.
Kwikwikwi. Unaongelea SGR ipo wapi? Mbona sisi ipo miaka mingi tu. Nyie ndio mnajenga sasa hivi. Sisi ipo tangu miaka ya 60. Tafuta inaitwa TAZARA. Halafu tumeanza kuijenga reli ya kati. Inaunganisha Rwanda, Burundi, Uganda na Congo.
Sasa nimekuuliza. Kwa nini njaa inawatesa kila siku?
Kwanini madaktari wanagoma kila kukicha?
Je, unaongelea nini Nairobi kuwa largest slum in the world?
Vipi kuhusu rushwa? Mbona wazee ndio wanakula nchi yenu tu?
Tumewagonga bomba la mafuta. Kwikwikwi
Tumekataa visa ya pamoja kwikwikwi
Tumekataa EPA kwikwikwi
Tumefunga bolongoja gate kwikwikwi
Tumekataa kupunguza work permit kwikwikwi
Nyie ni vibaraka wa wazungu nani asiye wajua!!?
Je uchumi wenu huo mnao jitapa nao yaan Gdp ya $69m huku sisi tukiwa na $50m. Mbona gape ndogo sana? Wakati etiopia wapo na $70m huku Nigeria $250m
Sasa nyie mwajivunia nini? Kama sio ushamba tu.
Yaani unajivunia majengo marefu!!?
Mbona Dubai ipo na mejengo marefu lakini uchumi wao hauwezi zidi marekani.
Acha ushamba kaupuku wewe.
Hapo pekundu acha uongo bwana!...mlichonacho ni CAPE GAUGE .
KENYA RELI HIY CAPE GAUGE, ILIJENGWA NA MALKIA WA HIMAYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKATI HU, 1800 A.D HATA KABLA TANGANYIKA HAIJAWA NCHI, RELI HII ILIUNGANISHA PIA UGANDA.na hamjawai kumiliki STANDARD GAUGE!
TAZARA ilijengwa na mchina baadae sana.