- Thread starter
- #21
Yeye anataka kufanya biashara bila upinzani? bongo lala kichwa maji
Tatizo siyo kufanya biashara bila ya mpinzani. Tatizo ni kwamba unashindana na mashirika ambayo hayalipi kodi; lakini yanafanya biashara kama mtu mwingine ambaye analipa kodi. Huoni kama hili tatizo? Unajua tatizo litakapotokea baadaya kama haya mashirika ya dini yatakuwa monopoly ktk sector? bila ya kulipa kodi?
Hii nchi ilijaribu Ujamaa na ulishindwa vibaya sana. Sasa kwanin tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele? Huu mpango wa Kanisa kutoa huduma kwa wananchi ni kuwarudisha nyuma WTZ. Unawafanya WTZ kuwa wategemezi zaidi wa misaada. Taifa halijengwi kwa misingi hii.