Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

Shamu

JF-Expert Member
Dec 29, 2008
510
44
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.
 
Kwa hiyo we unataka kila sheli na kiwanda tujenge misikiti

Wewe upo sawa kweli au ni kichaa ?kwahiyo huo umeme utawaka kwa Wacristo tu? .Na hospital mfano Kcmc au Bugando inatibu Wacristo tu? Wacheni wivu wa kike .
 
I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa?

Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18?

Threat nyengine ya Kanisa kuwa ktk biashara-monopoly ni amani ya nchi. Hivi serikali inajua madhara ya Taifa lenye dini mbili (Islam and Christian) kubwa ktk nchi? Je Kanisa linajua madhara ya kuwa monopoly ktk kila sector?

Let's be honest- Tunaoimba serikali isimamishe mpango huu wa Expansion wa Kanisa- ni Tishio kwa amani ya nchi. Tunaomba serikali izuie mpango huu wa expansion. Madhara yake ni makubwa kuliko faida zake.
Mzee una akili kweli?
 
wacha uanzishe thread ya udini na ujijibu mwenyewe kwa multiple Id's zako mwenyewe
 
upuuzi mtupu, kanisa na misikiti ipo miaka na miaka sijasikia. kanisa lina hospitals kibao na hata jumuia za kiislam zina hospitals kibao sijasikia mtu akitengwa kwa dini yake! tuache unafiki usiokuwa na misingi tuchape kazi na si visingizio visivyo na msingi. adui yetu mkubwa ni CCM aliyeshindwa kutoa huduma hizi kwa jamii na si uislam wala ukristo. km serikali ya ccm ingekuwa na nia ya dhati ya kuiendekeza hii nchi tusingefika hapa tulipo leo!
 
Nonsense,you can think better than this,kwa hyo watu waendelee kuachwa bila maendeleo kisa mnazuia expansion,kwanza wewe c mfanyabiashara coz a gud invest this shud not worry you at all,embu acheni mambo ya kipuuzi,kanisa fanyeni kila mnaloweza kuikomboa jamii kama mna uwezo,
 
Unajua sometimes unashindwa hata kujibu post nyingine coz unaweza ukatukana mtu halafu ikawa sio dili coz JF ni great thinkers hatutumii masaburi kufikiri. Hata biblia inakwambia tumia sekunde kadhaa kufikiri kabla hujachukua au kufanya decision.
 
Kaka, unafanya biashara gani vile? kwani na wewe ulikuwa na mpango wa kufungua chuo kikuu, au kuzalisha umeme halafu wakatoliki wanakubania? Mimi siyo mfanyabiashara bana, mimi ni Mkulima. Ngoja nijaribu kukkuelewa kwa kutumia akili ya kawaida; kwamba makanisa wakiwekeza kwenye hizi sekta bidhaa/huduma zao zitauzwa bei chini kwa sababu wao labda wana misaada mingi na lengo lao mahsusi siyo kupata faida, hivyo basi kama na wewe umeamua kuzalisha bidhaa/huduma hiyo utajikuta hauwezi kuuza kwa faida kutokana na huduma/bidhaa hiyo kupatikana kwa bei chini hukooo kwa watu wa kannisa?!!!
 
Unaota wewe, je zimo kweli???Kuna mijitu mingine sijui ikoje, baada ya kuwaza maendeleo iko kuchochea udini. Watanzania wenzangu watu kama hawa tusichangie mada zao tuwaache na upupu wao. Invisible please ukiona mada kama hizi delete kabisa, anatupotezea muda huyu.
 
Thread imekaa kidini mno, kwani waislam wao hawana hizo shule na hospitali,? Katika hili nilitegemea sana kusikia pongezi kwa kanisa kusaidia kufikisha huduma muhimu kwa jamii na siyo kuwazuia.
 
Kaka, unafanya biashara gani vile? kwani na wewe ulikuwa na mpango wa kufungua chuo kikuu, au kuzalisha umeme halafu wakatoliki wanakubania? Mimi siyo mfanyabiashara bana, mimi ni Mkulima. Ngoja nijaribu kukkuelewa kwa kutumia akili ya kawaida; kwamba makanisa wakiwekeza kwenye hizi sekta bidhaa/huduma zao zitauzwa bei chini kwa sababu wao labda wana misaada mingi na lengo lao mahsusi siyo kupata faida, hivyo basi kama na wewe umeamua kuzalisha bidhaa/huduma hiyo utajikuta hauwezi kuuza kwa faida kutokana na huduma/bidhaa hiyo kupatikana kwa bei chini hukooo kwa watu wa kannisa?!!!

Hapo umeongea vizuri. Unajua TZ Ujamaa ulishindwa siku nyingi sana. Najua Kanisa lina dhumuni zuri la kuleta maisha bora kwa WTZ; lakini haya mambo ya biashara si vizuri kwa Kanisa kujiingiza.

Also, serikali itakuwa haipati faida kwa sababu Kanisa halilipi kodi. Sasa huu mzigo wa kodi tunachukua sisi Wafanyabiara, Wakulima kama wewe, wafanyakazi, nk. Unajua shillingi ngapi kila mwaka zinapotea ktk kodi ambayo hailipwi na haya mashirika ya dini? Jibu- Mabilioni ya pesa.
 
Back
Top Bottom