Monitor can't display

Monitor can't display

pmwelinde

Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
25
Reaction score
4
Guys am trying to switch on my laptop,
Everythng is okay but the problem is that the laptop can't display anything it remain as a black screen
guys i dont know the problem plz help me to solve this
 
try to use external monitor with vga cable or hdmi

Chief,msaada kidogo niko na laptop ina problem kama hiyo ila haina VGA so i had to buy an HDMI cable nikiunganisha na HDTV na kuselect source as HDMI still no signal but laptop iko fine feni inazunguka freshi ila ndo hivyo no display kwenye laptop na tv
 
Sometime hdmi hutaka drivers.

Haionyeshi chochote hata logo ya kampuni iliotengeneza?
 
Chief, Kuna Mshkaj Ameroot Tecno Yake Y6, Sasa Ametaka Kubadil Rangi Nikamdownlodia ifont nimweza kubadil rangi mbal mbal..lakin nimeshindwa kwenye kubadil rangi ya network signal na batery pamoja na batery percentage....hivi hapo unafanyaje?? kuna s2 yangu niliwah kuiroot hapo palinishinda pia..ningependa nijue hapo unabadil vipi mkuu??
 
panaitwa android status bar unaweza badili rangi bila hata kuroot ila kwangu naona haina maana na huwenda ikasababisha matatizo zaidi

google how to change android stats bar

au cheki app kama hii

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.thirstystar.colorstatusbar&hl=en
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom