money better than love

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
I told her : "I might not be rich, I have no money or villa or cars or companies like my friend John, but I love you and adore you."
She looked at me with tears in her eyes and hugged me like there is no tomorrow and whispered in my ear... : "If you love me, introduce me to John..."
Simply hilarious:A S 39::A S 39:
 
Kama kweli unampenda, utatekeleza hitaji lake...:laugh:
 
Nimesikia usemi mahali fulani kuwa kuolewa au kuhusiana na mwanaume ni ajira. Kwa wanaoamini hivyo hakuna nafasi ya penzi la dhati.
 
Mfano ni uwe nademu halafu umwambie kazi ninazozifanha zimeisha au nimefukuzwa kazi utaona anabadrika kabisa!Wao wanaweza kuwa anakupenda lakini napesa iwepo!&Mimi nimeshashuhudia maneno haya eti nimpende wanini kama hana pesa mzigo wa nini?
 
LOL, Love pekee is not enough, kuna mengi huhitajika, hata fedhsa kidogo kwa ajili ya kutumiana sms nzuri za mapenzi au kupigiana pia, kusikia sweet voices.
 
LOL, Love pekee is not enough, kuna mengi huhitajika, hata fedhsa kidogo kwa ajili ya kutumiana sms nzuri za mapenzi au kupigiana pia, kusikia sweet voices.

Sawa. Lakini kwa nini lisiwe tatizo lenu pamoja mkaunganisha akili kuzitafuta, badala ya mwanaume kuachwa solemba zinapokosekana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom