Monduli: Natafuta shamba na eneo la kufugia

farm 360

Member
Sep 27, 2020
11
10
Jambo wana JF,

Mimi ni mjasiliamali natafuta shamba la kulima mwakani (masika) pamoja na eneo la kufugia mifugo yangu ikiwepo Mbuzi wa maziwa, nahitaji iwe katika maeneo ya Monduli eneo la Benett karibu na msitu au maeneo ya Monduli Juu. Kwa yeyote aliye na maeneo pande hizo anicheki DM tuyajenge mapema!

Asanteni

Karibuni wanajamvi.
 
Monduli juu sawa ila utafugaje pale mkuu huogopi fisi na chatu kwa mbuzi zako? Pana pori pale kumbuka.
 
Back
Top Bottom