Molii kitchen: Tunasambaza Chakula na Matunda

Gantargal

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
74
Reaction score
5
Habari!

Kuanzia kesho Molii kitchen tunaanza kudeliver chakula na matunda. Na menu ya kesho ni BEEF MASALA pamoja na NDIZI MZUZU NA SALAD. Toa order yako mapema. Bei zetu ni 6000 na 2000 ya usafiri jumla 8000. Na matunda yatapatikana kwa sh 2000.

Karibuni sana na namba zetu ni 0783 132193

#Molii
's kitchen
#Generations of Goodness..
 
Attachments

  • 1438845984217.jpg
    1438845984217.jpg
    26 KB · Views: 276
Karibuni
 
Attachments

  • 1438846152922.jpg
    1438846152922.jpg
    60.3 KB · Views: 288
Kwa chakula kizuri na kitamu
Agiza kwetu hutojutia
tunafanya delivery pia popote ulipo
kutaka kujua menu ya hyo siku tupigie asubuh sana uweke order yako
Namba zetu ni 0783 132193
karibuni sana!
 
Attachments

  • 1439325295743.jpg
    1439325295743.jpg
    72.3 KB · Views: 293
  • 1439325333594.jpg
    1439325333594.jpg
    82.3 KB · Views: 353
Yummy!! Mwenye hii kitchen ni ndugu ya yule mollis mkenya?

Micheweni mnafika?
 
Menu ya leo ndizi nyama na wali kidogo
Leo natoa ofa kwa watu wa mjini kwa sh 4000 toa oda mapema uwepo kwenye list
Maelezo piga 0783 132193
"Generation of Goodness"
 
Attachments

  • 1439451570848.jpg
    1439451570848.jpg
    39.9 KB · Views: 234
Habari
Molii kitchen inawaletea juice zilizotengenezwa kwa ubora
Ukitaka Mango juice ya litre 5 unapata na Mango juice iliyochanganywa na nanasi unapata kwa litre 5 kwa bei ya elfu 30,000
kutoa oda wasiliana nasi kwa namba zetu
0783 132193
karibuni sana
 
Attachments

  • 1439973964654.jpg
    1439973964654.jpg
    32.1 KB · Views: 153
Duuuh
8000/=??!!!!
Shikamoo Dar es Salaam.
Kule kwetu msosi bei chee kweli.
Wacha nikaishi huko.

Habari!

Kuanzia kesho Molii kitchen tunaanza kudeliver chakula na matunda. Na menu ya kesho ni BEEF MASALA pamoja na NDIZI MZUZU NA SALAD. Toa order yako mapema. Bei zetu ni 6000 na 2000 ya usafiri jumla 8000. Na matunda yatapatikana kwa sh 2000.

Karibuni sana na namba zetu ni 0783 132193

#Molii
's kitchen
#Generations of Goodness..
 
Aisee Mkuu bonge la IDEA kaka.

Mungu akubariki kwenye Biashara yako,usisahau kuweka maombi on daily basis ili mungu akuvushe mbali zaidi na akupe uvumilivu wa changamoto ili usimame Imara.

Unajua watu sio tusubirie mpaka wazungu waje waanzishe wakati sie wenyewe vitu vingi vimo ndani ya Uwezo.
Bei zako za vyakula ni rahisi mno.Sie tuliopo Miji ya Biashara tunajua bei za vyakula hasa vyenye ubora wa namna hiyo,na delivery fee yenu ni very cheap.
Wapo watu watawabeza sana kwenye Bei na biashara yenu,ila siku zote kwenye maisha heshim ndoto yako na usikubali kuyumbishwa.Watanzania wengi vijana tuna maisha ya kukariri kwamba akiwa mzungu anauza chakula elf 40 basi ni bora zaidi kuliko mswahili akiuza chakula kile kile elf 10.

Mwambie alietengeneza Logo yenu hongera sana,nimeipenda sana na ujumbe wake unaeleweka

Najua mmejipanga vizuri,ila ningeshauri yafuatayo.
a)Website
Tengenezeni Website,ambayo itakuwa na aina zoote za vyakula mnavyotengeneza.
Na pia iwe na ratiba maalum ya chakula kwa juma katika kila siku,ili mtu ajue siku fulani kuna chakula gani na siku fulani kuna chakula gani,hii itasaidia kuwa na wateja wenye uhakika zaidi,mnaweza kupika hata aina mbili kwa siku,unajua hii inasaidia kwamba ni rahisi wateja kupashana habari kwamba siku fulani kuna kitu fulani,ili hata kama mtu akitoka kwake anajua leo mchana my favorite food ipo.Na wengine huweza hata kupangua ratiba ya chakula cha nyumba ili a meet hiyo flavour.
Lakini ukipika bila mpangilio ilimradi tu upate wateja,utakuwa kama mamalishe wa uswahili tu,We chukua mfano Migahawa ya Wageni hapo Dar,kuna siku ni nyama choma tupuuu,na ukienda watu kibaoooo,na kuna siku swahili flavour yaani nyomi balaa.Utajiuliza kwanini hawapiki vyote siku moja.Jibu ni Creativity
b)Vipeperushi na Mbinu za Ziada za Masoko kwa mazingira yetu
Tengenezeni vipeperushi,hata kama baadhi ya watu wanavichana,ila kwenye 10,basi sita watashika.Na hao ni muhim saana kwako.
-Tembeleeni maofisini,ili mnadi biashara yenu
Hili ni muhim sana ila inabidi kujipanga:-
Tengenezeni siku maalum,ya kutoa offer ya chakula bure,hata kama potion kidogo kwenye yale maofisi makubwa,na hata madogo,kwa wale ambao hawajaijua biashara yenu,ili kuwapa taste.Hii ni mara moja tu,then mnaenda sehem nyingine.
Hii unaweza kuona ni kutupa hela ila hii kwa Migawaha mikubwa duniani ndio wanaifanya na inawainua ile mbaya.

Kujipanga:-
Mnaweza kuwa mmekuja kivingine,na ninajua wapo wenzenu wanafanya kama nyie ila kizamani zaidi.
Sasa Watanzania kama kawaida yetu ya kuiga biashara,wapo watafuata nyayo zenu kama mnavyofanya,na waigaji wengi hawaigi kwa nia njema,Biashara zimejaa fitna saaaana,Sasa jipange na kwa ubora na umakini,na Time management kwenye Orders.Hizo ndio tools zenu kwenye mafanikio.

Biashara hii inachangamoto sana,msikate tamaa,na kuna kipindi ina hasara za ajabu sana,unaweza kupoteza pesa nyingi sana within a single day.

Ziada ya kupunguza Hasara
Ili kukwepa gharama na kukwepa kupoteza wateja hasa kwa chakula ambacho kimebakia.Maana najua chakula kikilala hamuwezi kuwauzi wateja wenu kwa kuwa wengie wanajua.
Sasa kukwepa hasara hiyo,nakushaurini fungueni Mgahawa au vimgahawa uswahili kabisaa,ili chakula kikibakie huko kwenye Mid class,basi mnapeleka siku ya pili kwenye level ya chini ili angalua kurejesha ile gharama ya chakula tu.

Jingine ni Kukopesha chakula:-
Na washauri ingieni kwenye huduma hii ya kukopesha chakula,najua inachangamoto zake,ila ita wa upgrade kwa kiwango kikubwa sana.Hasa makazini ikiwemo maofisini
Unajua watu wengi pesa zao huwa hazipo kwenye mfumo rasmi,unaweza kukuta mtu ameenda kazini na dharura imetokea akaitumia hela,na wakati huo anataka chakula,sasa nawashauri wekeni terms za Wiki,na malipo ya mwezi.
Wapo watu wanapokea Mishahara mikubwa ila unaweza kukuta kwamba kuna duka mtaani anakopa,na ikifika mwezi analipa vizuri tu.Sasa lazima na nyie msome kwa upana biashara yenu.

Sehem isiyo Rasmi sana na ngum kufikirika (Hospitals)
Jaribuni Sana kwenda Mahospitalini,hasa zile Hospitali za Class fulani.
Wapo wagonjwa wenye pesa,na wapo ndugu wa wagonjwa wenye pesa za kuweza kuwahudumia ndugu zao kwa gharama za Chakula.
Unajua Jiji la Dar hakuna kazi ngum sana kama kumuuguza mgonjwa halafu chakula kitoke nyumbani,kila siku watu wanachelewa.Sasa Tambueni kwamba Wagonjwa wote hawana Class inayofanana,wapo Wagonjwa wametoka Level ya Maisha ya Kati.Ushauri wangu juu ya hili ni kwamba,mnafanya survery asubuhi mapema sana,kisha mnajua kwamba wahitaji wenu ni wapi(Hapa kuna changamoto nyingi sana,unaweza kukuta muweka Order ameisha kufa)
Njia ya kufanya juu ya hili la Hopsitali:-Wekeni sahani mbili za chakula cha bure kwa manesi kama wawili hivi.
Hawa ndio watakuwa kama madalali wenu,na niwazuri saaana kwenye ushawishi,we angalia jinsi wanavyotushawishi tukanunue Dawa duka fulani na tunaenda kwa kujua kwamba Dawa za Duka hilo tu ndio zinaponyesha.
Hii njia ya kutafuta soko unaweza kuona imekaa kama ngum au kama haifai,ila mkuu usije kustuka wakati mwenzio kaisha ingia humo,ukabakia kusema ahh nilitaka kufanya na mie kama yule.Ni njia ngum sana,ila kwenye kutafuta hakuna wepesi hata siku moja.

Yangu ni hayo tu mkuu,kwenye mazuri chukua niliokushauri,na kwenye mabaya au upuuzi naomba uniachie na upuuzi wangu kaka.

Mungu akusimamie kwenye Biashara yako na Malengo yako
 
Dah asante sana umenipa faraja na maneno yako mazuri na kunitia nguvu niendelee kupigana nitakua mchoyo wa fadhila nisipokushukuru asante sana ubarikiwe nitafanyia kazi ushauri wako mzuri!ubarikiwe 😊
 
Back
Top Bottom