Moja ya makosa makubwa niliyofanyaga

Nimekua bro najua game ya mapenzi ilivyo uwaga sipotezi hata mda na msaliti
good...what i like aboutyou ni kuwa ulifanya kitu ukiwa foolish age au zero experience ila umejuta umegundua ulifanya makoosa makubwa....so hii inatosha you are a better person ni makosa ya utotoni au ujanani tu hayo hasira hazifai hata kidogo ....sbut hujamtafuta sasa..sijui utaweza?
 
Sina confidence ya kumface nikimuona kwa mbali yani nashindwa kabisa sababu baada ya kutokea yale..mtaa mzima ulijua mimi ndo chanzo kwahy nikama ishu ilikuwa kubwa sana na watu walimjadili sn...labda badae huko
 
Hata mimi nilimfanyia beki tatu wa aunt yangu.

Mtoto wa aunt kila akimpiga sound beki tatu anachomoa sasa mimi nilivyoenda dogo akanisimulia nikamwambia tumpige mtungo. Basi mzee nikampelekea mtongozo wa kikubwa akanielewa . Siku hiyo mchana dogo akajidai amewahi kurudi shule akakuta mimi hata kimoja sijapiga so akajifanya amefumania na yeye lazima apate basi kilichotokea ni mwendo wa kumaliza ugumu wake tu.

Mpaka nilivyoondoka dogo akaendelea kupiga hatimaye akamtia na mimba ila waliozeshwa kinguvu. Sasa hivi wameshakuwa na familia yao.

Ila shemeji yangu huwa nikimuwazia namuonea aibu sana japo tumekuwa watu wazima sasa.
 
Back
Top Bottom