Kwanini ni ngumu kwa wapenzi kusahau makosa ya wenza wao?

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Hivi uwa unajisikiaje pale mpenzi wako anapokukumbushia makosa yako

ya nyuma ambayo ulishamuomba msamaha ..akakusamehe...yakaisha na mkaendelea

kuishi???
 
Back
Top Bottom