Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

Anyways ni mtazamo wako lakini, je unajua siri ya kitanda chako na mashuka ulonunua mwenyewe mkeo alishayafanyia nini, je unajua hiyo pesa unayompa kama asante au hata kwa matumizi mengine unajua anaenda kuitumia wapi kama anaenda kumpa mwanaume mwenzio kama asante kwakuwa kamkula vzr au hata vocha unayompa unajuaje kama inaenda kuhalalisha mawasiliano ya yeye kupatatana na aliyepanga kwnd kumpa uroda. Kuishi na mwanamke shukuru kama akiwa anakuheshimu tu mengine achana nayo kufatilia utamaliza dunia yote usimpate mwema
Mkuu kwanza sina mke na sihitaji kuwa na mke,mimi nawachapa sana mkuyenge halafu kila mtu anaendelea na maisha yake,sitaki laana ya mijianamke kwenye maisha yangu
 
Umenikumbusha mbali bhn kuna dem aliniletea pigo hzo ety ninunulie dazen ya chup nkamuuliza unataka kufungua duka? Tukabak tunaangaliana akasema hapana tangu hapo hio mada hanambiagi namuona na pichu tofaut hope huyu anaemnunulia anamjali sana kama ni yeye bas atakaemuoa atafaid sana :D
 
Me nilishanunua aisee🤣🤣🤣, lakini nilimvisha nikamwambia ageuke nione ilivyomkaa alafu ana traakoo. Alipogeuka nikaishusha kidogo alaf nikaiweka akiwa ameinama..lakini siko nae tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom