Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

Njia aliyoipitia bwana Katumbi si salama kwake na kwa uhai wa biashara zake......
 
ushindwe hakika AFRICA hatuna laana ni mpito tu! tuombe kwa MWENYE ENZI MUNGU atupe hekima na busara! mdomo unaumba....

Ashindwe na nani!!!! Afrika laana tupu.
Miafrika ndivyo tulivyo by Nyani Ngabu.
 
Tunaomba mwenue uelewa
Nyumba alinunua kabla au baada ya kutangaza nia?
Isijeikawa walielewa dhamira yake ya badae ndo wakatumwa watu wamwuzie. Natamani huyo jaji angehamia kwetu kuna watu huku wamejimilikisha nyumba na nyingine zawezakuwa mali ya umma
 
figisu mapemaaaa kwahiyo akishafungwa inamaana uchaguzi ndo unampita hivo................upinzani inabidi warudi mezani wachague mgombea mwingine akabiliane na kabila


Hili ni somo tosha kwa wanasiasa wote duniani...ukitaka kugombea madaraka ya juu...you have to be clean...
 
Back
Top Bottom