Umesahau mmoja mkuu. Huko Equatorial Guinea jamaa kamteua mwanae kuwa makamu wa raisUhuni wa kubaka demokrasia nchi za Afrika unaendelea. Wala sishangai maana nishazoea, Huyu anabana wapinzani, yule anamteua Mkewe awe Waziri, huku Rais anamteua mwanae awe makamu wa Rais. Hii ndio Afrika.
Babake alikata mawasiliano na Kigali na Kampala ndo mwisho wake ulipoanzia lakini dogo bado ni mtiifu kwa hizo remote control. DRC ni koloni flani tu kila anaeungwa mkono na waKongo asilia mwisho wake si mwema mfano ni Bemba na sasa Katumbi.Natabiri Kabila ataishia kama baba yake.
Kabila kama ccm kwa visa na roho mbaya[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Duh hii nayo kali
Kuna tetesi kuwa hata tz remote ipo Kigali, inauma sana.Babake alikata mawasiliano na Kigali na Kampala ndo mwisho wake ulipoanzia lakini dogo bado ni mtiifu kwa hizo remote control. DRC ni koloni flani tu kila anaeungwa mkono na waKongo asilia mwisho wake si mwema mfano ni Bemba na sasa Katumbi.
Kila kitu kinawezekana,Mtikila alikuwa akiongea sana haya lakini alionekana kama mpiga kelele tu.Ishu ya Tutsi Empire is real ingawa inaonekana kama maneno ya kusadikika tu..lets wait and see.Kuna tetesi kuwa hata tz remote ipo Kigali, inauma sana.
Empty talk is cheap as shitKumekucha DRC, inawezekana kabisa ni uoga umemkimbiza, Katumbi hakutakiwa kukimbia nchi, angekaa afight kama mwanaume
Na haya madikteta yanatubamba haswaa[emoji19]Africa bambataa
Then lady you are empty, dumb and lame as fvckEmpty talk is cheap as shit