Trump anachaguliwa lini?Halafu kuna mtu mmoja alikuwa anajisifia Uafrika leo!!!
Sijajua!Trump anachaguliwa lini?
Mbona 1716 ni futuristic rudisha mpaka stone age.Mijitu inatumia nguvu Africa badala ya akili.TIA; This Is Africa
Africa tunatakiwa tuwe na kalenda yetu, hutustahili kalenda zetu kusoma 2016... No way, sio sahihi kabisa, turudishe angalau miaka 300 nyuma isome 1716
Mahakama ilimpa ruhusa kwenda kwenye matibabu..
Halafu siku ya hukumu mahakama inamtaka awe mahakamani
Afrika tuna laana!
Mpito eeh...ushindwe hakika AFRICA hatuna laana ni mpito tu! tuombe kwa MWENYE ENZI MUNGU atupe hekima na busara! mdomo unaumba....
wewe hujawahi ona faini ya milioni 6 dolla, **** uwanaume, mimi mwenyewe ningekimibia