Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

Dah Africa hadi aibu, kila watawala wapo kwenye mbinu za kubaka demokrasia, bora Trump awe rais aje kuwanyoosha
 
Halafu kuna mtu mmoja alikuwa anajisifia Uafrika leo!!!

ahahaha yani hamna cha kusifia kasoro wanawake wenye makalio makubwa. wanyama ndo hao wanauliwa na kupotea, madini ndiyo hayo yanamilikiwa na serikali, haki za binadamu ni kama vile hao viongozi hawajawai kusikia hilo neno, kila nchi raisi anataka kuwa dictator, wamarekani ndo hao hawataki kuingilia kwasababu hatuna mafuta yanni shida tupu.
 
Mpito eeh...
Tukubali Kutokukubaliana!

si umesoma historia ya mizungu ilivyokuwa inatoana roho kila siku katika mavita yao, lakini sasa wako shwari!
 
Maendeleo hayawezi kuja tulie tu sisi tuna laana toka enzi

siyo laana na yanaweza kuja baada ya muda tukibadilisha jinsi tunavyolea jamii zinazokuja. Hao viongozi wote ambao ni wababe na wanaopenda kutumia nguvu na vitisho wote wamelelewa kupitia ulezi wa kunyanyaswa na kupigwa na wazazi wao. Hiyo ndiyo fikra ambayo imewaponza waafrika wote kufikiri kwamba kulazimisha watu ndiyo kufundisha. Lakini tunachohitaji kulea jamii zinazokuja ni kupitia hekima na upendo na kuondoa television manyumbani mwetu na kuingiza vitabu vya philosophia, vitabu vya psychologia na vitabu vya uchumi. Tulee jamii ijayo isiwe na makatili bali iwe na watu wenye hekima na ueleo wa uchumi na wanaojali binadamu wenzao. Hao watoto ndiyo watakao wapindua hawa makatili.
 
Kweli africa ni kichwa cha mwandawazimu,yani ukitaka tu kumpiga tu kiongozi wa chama tawala basi ndo unakuwa mwisho wako wa kuushi maisha mazuri
 
Bhaswahili bhana walisema "nchi haichukuliwi kwa katarasiii". Stress tupu land of we Blacks.
 
Uhuni wa kubaka demokrasia nchi za Afrika unaendelea. Wala sishangai maana nishazoea, Huyu anabana wapinzani, yule anamteua Mkewe awe Waziri, huku Rais anamteua mwanae awe makamu wa Rais. Hii ndio Afrika.
Hahahaha This is Africa, hili bara daah mpaka dakika hii najiuliza
 
Back
Top Bottom