Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Moise Katumbi ahukumiwa miaka 3 jela
140501174620_moise_katumbi_640x360__nocredit.jpg

Mgombea urais wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Moise Katumbi, amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela kwa kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubumbashi. Pia alipigwa faini ya dola milioni 6.

Katumbi hakuwa mahakamani wakati wa kutolewa kwa hukumu hiyo, baada ya kusafiri kwenda afrika kusini kupata matibabu siku moja baada ya serikali kutangaza waranti wa kukamatwa kwake kwa mashtaka tofauti.

BBC Swahili
 
figisu mapemaaaa kwahiyo akishafungwa inamaana uchaguzi ndo unampita hivo................upinzani inabidi warudi mezani wachague mgombea mwingine akabiliane na kabila
 
Back
Top Bottom