MOI Wajiunga Tena na MGOMO

mh style ya panya kuchezea sharubu za paka
 
Mkwara kwa kitoooooooto kwa Amiri jeshi mkuu!

Watu wamekasirika kusikia mgomo umemalizika.

Hahahahaha, mnataka umaarufu wa kisiasa kwa kutumia roho za masikini wa watu?

Shame

Amiri Jeshi Mkuu Kabwana Dr Ulimboka anamtoa Makasi,stress juu ya stress nothing is moving atajuta kuwajua Madaktari
 
Good.
Kama ni hivyo kwanini basi madai yao yasitekelezwe ili matatizo yaishe.
watendelea kugoma indefinitely.
Beware, mtaingia kwenye mgomo huu soon ninyi mnaopinga,

Sikushangai kwa maneno yako kwani hata Avatar yako inadhihirisha hilo. Dah, unapenda migomo!
 
HIvi sinasikia Rais wetu ni dokta, sasa yabidi akawatibie hao wagonjwa. ili kuonesdha kweli anamaanaisha anachoongea
 
SIDHANI SPECIALISTS KAMA DR. ANTHONY, PROF. MUSERU, PROF. KAHAMBA, DR. NUNGU NK. NK. AMBAO WAKO VERY SMART WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU!
THIS IS NON SENSE AND VERY STUPID! I THINK MLETA MADA ANA AGENDA YAKE YA SIRI!
Kwani ugomvi mkuu, we si uende ukatibiwe nao hao uliowataja kama wako kazini!!
 
Mkwara kwa kitoooooooto kwa Amiri jeshi mkuu!

Watu wamekasirika kusikia mgomo umemalizika.

Hahahahaha, mnataka umaarufu wa kisiasa kwa kutumia roho za masikini wa watu?

Shame

CCM wanaendelea kutibu magonjwa nyemelezi ya UKIMWI na hawajagundua dawa ya kutibu magonjwa yanaowakabiri watz kwa sasa ikiwemo la madaktari, inakuwaje kupaka rangi bodi ya gari ambayo imeshaliwa na kutu? Sasa hivi CCM inaongoza kwa tabu sana nchi hii ni baada ya watu kutambua haki zao. Na bado mpaka mtaogopa kuchukua fomu za kugombea urahisi na ubunge. Hatutaki tena ubabaishaji wenu.

Halafu mnawapakazia wapinzani, wangesimama na kukanusha kwamba kinachodaiwa na madaktari ni uwongo na hali iko hivi. Mishahara duni, maisha duni, huduma duni, vitu bei juu unategemea wapinzani waangalie tu?
 
Safari hii Liwalo na Liwe, Dhaifu sijui watasema nini?
Madokta kutoka Iran haiwezekani tena, washalikororoga na bendera zao.

Sasa hapa tukisema wabunge wa WASHWA WASHWA na chama chao kinatetea migomo km ilivyo andikwa kwenye hotuba yenu mtakataa? Washwa washwa bana , mna matatizo makubwa
 
Mapambano ndo yanaanza Lugalo 80% yao ni MA na AMO

Unafikiri kusomea udaktari bingwa mchezo? geshi lenyewe tu si la kisasa ni la kizamani la kutumia maguvu je huo udaktari watauweza? msitake kudharau taaluma za watu acheni madaktari wadai haki zao bwana wanastahili. Bila kugoma huwezi kusikilizwa
 
Sasa hapa tukisema wabunge wa WASHWA WASHWA na chama chao kinatetea migomo km ilivyo andikwa kwenye hotuba yenu mtakataa? Washwa washwa bana , mna matatizo makubwa

Kugoma ni haki ya kila mtanzania, Chama hakitetei mgmo ila kinatetea haki za watu. Kwanza inakuwaje mpaka watu wanaingia kwenye migomo? Kama hawa watu hawakuwa na haki mbona serikali ilianzisha mazungumzo nao?
 
Msimamo mbona JK aliisha utoa kwenye hotuba yake ? alisema hawana haja yakugoma na kumsumbua mwajiri kuwaandikia barua nk, wao waache kazi waende kwenye maslahi bora wayatakayo, shida iko wapi ? na kwa nn usiwashauri wafuate ushauri wa Rais wakuacha kazi?
 
Si ndio maana wamemuachia Muhimbili yake hawana shida na mshahara wake akawaleta hao wa Iran waliomhonga suti watibu wananchi
 
Unafikiri kusomea udaktari bingwa mchezo? geshi lenyewe tu si la kisasa ni la kizamani la kutumia maguvu je huo udaktari watauweza? msitake kudharau taaluma za watu acheni madaktari wadai haki zao bwana wanastahili. Bila kugoma huwezi kusikilizwa

Hayo maslahi wanayoyataka Rais JK aliisha waambia hayawezekani, na akawapa na suluhisho kuwa kama hayawezekani na wao waache kazi, mbona kitu ni rahisi tu na ww kwa nn usitumie muda wako kuwashauri waache kazi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…