Mohammed Morsi sentenced to death over 2011 prison break

Mohammed Morsi sentenced to death over 2011 prison break

ndewelo
Mbona husemi kwamba wananchi hao hao waliingia barabarani na kuanzisha maandamano ya kutaka morsi atolewe? Mwaka mmoja aliotawala Morsi coptics walikua wanauawawa na makanisa zaidi ya sabini yalichomwa moto. Kilichokuja kupigilia msumari ni pale Morsi alipotaka kubadili katiba kwa kutaka raisi (yeye) awe juu ya muhimili wa mahakama. Watu wakaandamana, jeshi likampindua.

Umesahau yote haya, Aljazeera, CNN, BBC walionyesha sana haya matukio mbona au walikua Waisraeli wanaigiza?
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni ampokee Yesu ali apate uhakikisho wa maisha baada ya kifo. Yesu anampenda sana.
 
Tutegemee mandamano mengine kama yale yaliomwangusha Mubarak.

Yafanywe na akina nani?
kwa ajili ya mpuuzi aliyeiporomosha Misri????

Hukumu itekelezwe haki isimame daima....Morsi kaua waandamanaji.
VIVA HOSNI MUBARAKA
 
Dhambi ya Housen Mubarak inawatafuna waMisri hata huyu nae aliyepo yatampata hayo hayo. Binafsi nimeshangaa sana hukumu hiyo!
al sisi amejaiokoa misri ilikwisha anza kuparaganyika
amefanya kazi takatifu, historia itambeba daima
wamisri walimuitaji sana mtu katili atakayefutilia mbali ushenzi wa MOSRI na mungu amewapatia al-sisi asiyeogopa ujinga na anayechukizwa na upuuzi
 
Back
Top Bottom